FPCT NYAKATO MWANZA,TANZANIA BLOG
Injili kamili ya kristo ,leta watu mamilioni kwa YESU
Friday, 24 November 2017
Saturday, 21 October 2017
Monday, 16 October 2017
WIKI YA VIJANA FPCT NYAKATO
#TAMAXHA_LA_KUSIFU_NA_KUABUDU #WIKI_YA_VIJANA #FPCT_NYAKATO_MWANZA_TANZANIA ____________________
🎼#HALELUYAH_MSIFUNI
🎼
🎼#MUNGU_KATIKA
🎼
🎶#PATAKATIFU_PAKEEE×2
🎶______________________
🎶#KILA_MWENYE_PUMZI
🎶
🎵#AMSIFU_BWANA
🎵
🎵#HALELUYAH ×2
🎵
Sunday, 15 October 2017
JUMAPILI YA WIKI YA VIJANA
MWL;JAMES KALEKWA
SOMO;NANI ANAE FATA?
Inapaswa kulijenga taifa la baadae kwa kuwajenga vijana katika nyanja mbalimbali mf.Kiuchumu,kihuduma n.k
Maana hao ndio wamelibeba taifa la baadae.
´Muhubiri 2;18-23
´ISAYA 2:2-3
´1 WAFALME 2:1-4
note. Maendeleo bila muendelezaji sio maendeleo
note. Maendeleo bila muendelezaji sio maendeleo
Wednesday, 11 October 2017
SOMO;MAMBO YA MSINGI YA KUYAJUA/KUZINGATIA KATIKA UTUMISHI
SIKU YA TATU
REJEA (KUTOKA 23;25)
-Kila kitu ambacho Mungu anakifunua mbele yetu kinakusudi ili tusije kuumia
MUENDELEZO WA SOMO LA SIKU YA TATU
1.Utumishi bila mahusiano na mwenyetumishi(MUNGU)ni kazi bure
MARKO 3;13-14
NOTE;
-Ukifanya kazi ya mwenyekazi bila kuwa na uhusiano na mwenye kazi hutapata faida ya chochote ILa ukiwa na uhusiano mzuri na mwenye kazi utapata faida KUBWA.
2.Huwezi kutenganisha utumishi wenye tija na utakatifu
2wakoritho 7;1
UTAKATIFU NI NINI?
==>NI kijitenga na uovu na kuwekeza nguvu zake ,akili,na mwili wake katika kutimiza kazi ya mungupoint za muhimu kuhusu utakatifi
i/utakatifu unatafutwa
ebrania 12;14
1 wakoritho 15;33
ii/utakatifu ni wakujizoeza
2timotheo 10;3-7
2timotheo 2;2-22
1petro 2;11-12
3.unapotumika usimtumikie mtu ila Mungu pekee
4.kumtumikia mungu sio kigezo cha kukupleka mbiguni ila matendo yako
wagalatia 5;10-24
mathayo 7;19-23
zaburi 100;2
SOMO:MWENDELEZO WA SIKU YA KWANZA
SIKU YA PILI YA SEMINA
NA MWL:VICTOR DEOGRATIUS
-Anza kufanyia kazi kile ambacho kinachukua nafasi zaidi
--ZABURI 36,ISAYA 35:10
****KUMTUMIKIA MUNGU NI NINI?
Ni kusimama na kutekeleza ajenda ya ufalme wa mungu mahali ulipo
*kitu chochote kinachofanywa bila kuwepo na utukufu wa Mungu hakina faida
AINA ZA UTUMISHI
i/Utumishi katika mwili wakristo
ii/utumishi katika nyumba ya Bwana
1wakoritho 15;18
warumi 12;3-11
note(maandiko ya msingi wa neno)
efeso 6;5-7
1wafalme 19;15
kutoka 31;1-4
Subscribe to:
Comments (Atom)
-
FPCT ina makanisa ya mahali (Local Churches) 192, ina zaidi ya parishi 850 na matawi zaidi ya 4500 kote nchini. Haya yote yanaendelea kukua...
-
Pakua Fomu ya kuomba Leseni kufungisha Ndoa & Kitambulisho cha Mchungaji. by fpct • November 14, 2016 • Comments Off Pakua fo...
-
SIKU YA TATU REJEA (KUTOKA 23;25) -Kila kitu ambacho Mungu anakifunua mbele yetu kinakusudi...
-
BWANA YESU ASIFIWE WATUMISHI WA MUNGU.................. #Taarifa Bwana Asifiwe Wapendwa Yafuatayo ni mabadiliko Ya Ibada...
-
SIKU YA KWANZA SIKU :JUMATATU MUDA;SAA10:00-12;00 NA MWALIMU: VICTOR DEOGRATIUS -katika ujana ndipo kuliko na nguvu za mabadi...
-
Maelezo Yanajitoxheleza Povu Ruksa Wapendwa "Wala hata Simlaumu DIAMOND PLATNUMZ juu ya Wimbo wa HALELUYAH" Nimeshuhudia Post...

































