Friday, 24 November 2017

MKESHA WA PARISHI





Shalom shalom 

        karibu katika mkesha wa VIJANA parish utakao kutanisha vijana kutoka makanisa mbalimbali ya fpct parish ya nyakato mkesha utafanyika  FPCT KANGAE KISIMANI KWA MCHUNGAJI KALOGI(mwanza) kwa ambao wanataka kuhudhulia na kufika mahali apo kumtumikia Mungu wetu wa mbinguni tafadhari wasiliana na 

KHATIBU VIJANA FPCT NYAKATO

 O756734219

No comments:

Post a Comment

Mungu mwema

MKESHA WA PARISHI