SIKU YA KWANZA
SIKU :JUMATATU
MUDA;SAA10:00-12;00
NA MWALIMU:
VICTOR DEOGRATIUS
-katika ujana ndipo kuliko na nguvu za mabadiriko
muhubiri 12;1
note yoeli 2;1-7
-lazima ujue safu yako ili uweze kumtumikia Mungu kwa viwango vingine
maandiko ya msingi wa somo
wagalatia 1;15,kutoka 31;1-4
matendo ya mitume 9:36-40,kutoka 23;25
MWONGOZO WA KUTAFUTA AU KUJUA SAFU YAKO(YANGU)
1.Jambo gani huwa linaibuka mara kwa mara ndani yangu(yako)
2.Jambo gani napenda kulifanya
3.Jambo gani nikilifanya nasikia lidhiko la ndani
4.Jambo gani ukiliona na kulitazama unahisi ni wewe peke yako unastahili kulifanya
5.Jambo gani watu wanakwambia unaweza kulifanya kwa ubora zaidi.
6.Jambo gani uko tayali kulifanya hata bila malipo
7.Jambo gani ukiona linakosewa unasikia kulifanya tena kwa ubora zaidi
No comments:
Post a Comment