SIKU YA TATU
REJEA (KUTOKA 23;25)
-Kila kitu ambacho Mungu anakifunua mbele yetu kinakusudi ili tusije kuumia
MUENDELEZO WA SOMO LA SIKU YA TATU
1.Utumishi bila mahusiano na mwenyetumishi(MUNGU)ni kazi bure
MARKO 3;13-14
NOTE;
-Ukifanya kazi ya mwenyekazi bila kuwa na uhusiano na mwenye kazi hutapata faida ya chochote ILa ukiwa na uhusiano mzuri na mwenye kazi utapata faida KUBWA.
2.Huwezi kutenganisha utumishi wenye tija na utakatifu
2wakoritho 7;1
UTAKATIFU NI NINI?
==>NI kijitenga na uovu na kuwekeza nguvu zake ,akili,na mwili wake katika kutimiza kazi ya mungupoint za muhimu kuhusu utakatifi
i/utakatifu unatafutwa
ebrania 12;14
1 wakoritho 15;33
ii/utakatifu ni wakujizoeza
2timotheo 10;3-7
2timotheo 2;2-22
1petro 2;11-12
3.unapotumika usimtumikie mtu ila Mungu pekee
4.kumtumikia mungu sio kigezo cha kukupleka mbiguni ila matendo yako
wagalatia 5;10-24
mathayo 7;19-23
zaburi 100;2


No comments:
Post a Comment