Wednesday, 4 October 2017

TAARIFA YA UTARATIBU MPYA WA IBADA FPCT NYAKATO

BWANA YESU ASIFIWE WATUMISHI WA MUNGU..................

 
#Taarifa Bwana Asifiwe Wapendwa Yafuatayo ni mabadiliko Ya Ibada FPCT Nyakato Mwanza Kuanzia Tarehe 17/Sep/2017 na kuendelea Kutakuwa na Ibada Moja tu Itakayo anza Saa 8 :15 asubuhi na kuisha Saa 5:45.Barikiwa Sana Na Bwana Wapendwa

No comments:

Post a Comment

Mungu mwema

MKESHA WA PARISHI