Friday, 6 October 2017

JE? UNA TAALUMA YEYOTE NA NI MWANA FPCT SIKIA HII

FPCT Professionals

FPCT kwa kuzingatia umuhimu wa wanataaluma katika kanisa, imeamua kuanzisha kitengo chao maalumu ili kiwe kinatumia taaluma zao kusaidia kanisa katika nyanja mbalimbali, ikiwemo ushauri, maoni, mipango na namna ya kutatua changamoto katika kanisa.

KWA TAARIFA ZAID FOLLOW LINKI HII CHINI


http://fpct.or.tz/fpct-professionals/

No comments:

Post a Comment

Mungu mwema

MKESHA WA PARISHI