Saturday, 7 October 2017

SEMINA SEMINA SEMINA SEMINA SEMINA





kanisa la FPCT NYAKATO chin ya ASKOFU NA MCHUNGAJI DR ELIAS SIMON NDAJI linakuletea mfululizo wa mafundisho kuelekea siku ya vijana katika kanisa la fpct nyakato si ya kukosa hii masomo mengi yatafundishwa kwa vijana ili kuwajenga kimwili kiroho na kijamii nyoote mnakaribishwa

No comments:

Post a Comment

Mungu mwema

MKESHA WA PARISHI