Wednesday, 4 October 2017

BUZURUGA FPCT WAONJA JOTO LA JIWE KUTOKA FPCT NYAKATO






MNAMO IJUMAPILI YA TAREHE Mosi octoba vijana wa FPCT NYAKATO walitia kipigo cha aina yake katika michezo miwili iliyo husisha vijana wa FPCT buzuruga na vijana wa FPCT nyakato hadi tunatoka uwanjani matokeo yalikuwa


wasichana netball FPCT NYAKATO
10 

wasichana netball FPCT BUZURUGA 0
wavulana FPCT NYAKATO 4-wavulana FPCT BUZURUGA 3

No comments:

Post a Comment

Mungu mwema

MKESHA WA PARISHI