1- Usimchukie yeyote hata kama atakukosea sana.
2- Ishi maisha ya kawaida hata kama upo juu kimaisha.
3- Tarajia baraka hata kama magumu yanakusonga.
4- Toa hata kama wewe umenyimwa.
5- Onyesha tabasamu hata kama moyo unavuja damu.
6- Usiache kuwaombea wengine hata kama maombi yako hayajajibiwa.
Tafadhali usifute kabla hujatuma kwa unao wapenda na Mungu akupe wepesi wa kutuma na akuzidishie imani, upendo, umoja
Mimi naanza na wewe.
x

No comments:
Post a Comment